Pombe haramu zatekezwa Arusha kuzuia Kipindupindu
Wananchi wa Mtaa wa Matejo uliopo jijini Arusha wameiomba serikali iwapatie mikopo ili waweze kufanya shughuli mbadala za kujiingizia kipato badala kujishughulisha na uuzaji wa pombe haramu ambazo zinadaiwa kuwa sababu ya kuenea kwa kipindupindu.