Mitandao ya kijamii inatumiwa vibaya - Mwambene
Serikali ya Tanzania imeziomba nchi za Jumuia ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika SADC kuhakikisha zinakuwa na mfumo wa kuangalia matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ili isiendelee kusababisha madhara katika jamii.