'Elimu bure' Bil. 18 kutolewa shuleni kila Mwezi
Ili kutekeleza azma ya serikali ya kutoa elimu bure kwa shule za msingi hadi kidato cha nne, serikali imepanga kupeleka Sh. Bilioni 18.77 kila mwezi kwa ajili ya kugharamia elimu bure kuanzia Januari, 2016 kwa shule zote nchini.