Samatta apewa baraka kuwania Tuzo Afrika
Wizara ya Habari, michezo, sanaa na utamaduni imetoa baraka zake kwa Mchezaji wa kimataifa Mbwana Ally Samatta katika ushiriki wake katika kuwania tuzo ya Mchezaji bora wa ndani wa Africa huku akitarajia kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.