Serikali kupitia upya muswada wa Habari Waandishi wa habari wakiwa katikia moja ya mikutano. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye amesema serikali ipo tayari kufanya mabadiliko ya muswada wa huduma ya habari ili kuridhia mapendekezo ya wadau wa habari. Read more about Serikali kupitia upya muswada wa Habari