Madiwani watakiwa kukusanya mapato Njombe

Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba

Halmashauri ya wilaya ya Njombe leo imefanikiwa kuwaapisha madiwani wake na kufanya uchaguzi wa mwenyekiti wa baraza la madiwani wa halmashauri hiyo na makamu wake huku kamati za kudumu zikiundwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS