Mtwara yaanza kutekeleza agizo la usafi Uhuru Day
Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Fatma Ally amesema wilaya yake imeshaanza kutekeleza agizo la usafi Desemba 9 kuanzia Desemba 2 mwaka huu wa kufanya ukaguzi katika nyumba za kulala wageni, hoteli na mama lishe.