Yanga yamsimamisha Niyonzima kwa muda usiojulikana Kiungo machachari wa Yanga Haruna Niyonzima akionyesha cheche zake katika moja ya mechi dhidi ya Azam msimu uliopita. Uongozi wa vinara wa ligi kuu ya soka Tanzania bara klabu ya Yanga, umetangaza kumsimamisha Haruna Niyonzima kwa muda usiojulikana. Read more about Yanga yamsimamisha Niyonzima kwa muda usiojulikana