Yanga yaanza vizuri, Azam FC chupuchupu Mapinduzi
Yanga imeanza vizuri michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kishindo kwa kuitwanga Mafunzo kwa mabao 3-0 huku Azam FC ikiponea chupuchupu mikononi mwa Mtibwa Sugar baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar, leo.