Zaidi ya Kaya 1500 hazina makazi Kilosa
Kaya 1500 hazina makazi katika kata ya Magomeni wilayani Kilosa Mkoani Morogogo baada ya nyumba zao zaidi ya 250 kubomoka na nyingine 500 kujaa maji baada ya mvua kunyesha kwa saa nne na kusababisha mafuriko katika kata hiyo.