Vyama vya kijamii 1,268 vyafutiwa usajili Msemaji wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefuta vyama vya Kijamii 1,268 baada ya kushindwa kutekeleza majukumu yao kisheria. Read more about Vyama vya kijamii 1,268 vyafutiwa usajili