Rufftone atesa na ubalozi aliopewa
Nyota wa muziki Rufftone kutoka nchini Kenya, ameonekana kuanza kufurahia maisha mapya kama balozi wa mahusiano mema akiunganisha Kenya na Korea, akiwa sasa katika ratiba ya kukutana na viongozi wa juu huko nchini Korea.