Kipaji chamuweka Matonya juu
Staa wa muziki Matonya, ameweka bayana siri ya kuweza kukaa katika muziki kwa muda mrefu, wasanii wanaochipukia wakitakiwa kufahamu kuwa kipaji na heshima ndio mbinu za pekee za kumuwezesha msanii kuweza kuendelea kuwepo na kufanikiwa katika muziki.