Hatujajiandaa na mechi ya Simba pekee - Azam Fc Vinara wa Ligi kuu Tanzania Bara Azam Fc wamesema, hawajajiandaa na mchezo dhidi ya Simba Sc pekee hapo kesho kwani watacheza na utakwisha hivyo maandalizi yao ni kwa mechi zote za Ligi zilizobakia. Read more about Hatujajiandaa na mechi ya Simba pekee - Azam Fc