Simba na Azam Fc vitani kesho Ligi kuu Bara Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara inarejea kesho baada ya mapumziko ya takriban mwezi mzima kupisha mechi za timu ya taifa na michuano ya Kombe la CECAFA Challenge. Read more about Simba na Azam Fc vitani kesho Ligi kuu Bara