Njombe yakabiliwa na ukata fedha za maendeleo

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Njombe Eluminata Mwenda.

Halmashauri ya mji wa Njombe inakabiliwa na changamoto ya ucheleweshwaji wa fedha za maendeleo na kushindwa kutekeleza shughuli za maendeleo kwa wakati huku mpaka mwezi huu wamepokea asilimia tano ya fedha zote za maendeleo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS