Serikali imeshauriwa kutumia taarifa za uwekezaji
Serikali imeshauriwa kutumia taarifa zinazotokana na uwekezaji wa miradi ya rasilimali za mafuta na gesi kupanga mipango ya maendeleo ya wananchi, ili waweze kufaidika na uwekezaji huo unaotekelezwa katika maeneo mbalimbali katika mikoa ya Kusini.