Tanzania inakabiliwa na uhaba wa madaktari

Rais wa Awamu ya pili nchini Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi,

Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi amesema Tanzania inakabiliwa na uhaba mkubwa wa madaktari na wauguzi, hivyo ameishauri serikali kufanya jitihada kubwa kuhakikisha inaziba pengo hilo ili kuokoa maisha ya wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS