Kaijage abwaga manyanga Twiga Stars

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Mpira wa Miguu (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amejiuzulu nafasi hiyo kuanzia leo baada ya kuomba kwa uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS