Radio akanusha 'kubwagana na Lilian'
Msanii wa muziki Mowzey Radio amezungumzia tetesi za kutengana na mama mtoto wake msanii wa muziki Lilian Mbambazi na kueleza kuwa licha ya maneno mengi ya wenye chuki, mwanamke huyo bado ni mke wake na ataendelea kuwa mkewe milele.