Kombe la FA kutifua nyasi mwishoni mwa wiki hii
Mechi za raundi ya 3 ya Kombe la FA, ambalo kwa sasa linaitwa Emirates FA Cup ambalo huzikutanisha Klabu za Ligi Kuu na ligi daraja la kwanza nchini Uingereza, mechi zake zitachezwa mwishoni mwa wiki hii.