Raia wa kigeni Tanzania kurudishwa nchini kwao
Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kuanza kwa operation maalum ya kuwakamata na kuwarudisha makwao raia wote wa kigeni wanaoishi bila vibali nchini pamoja na kufanya kazi zinazoweza kufanywa na wananchi wazawa.