Zidane alakiwa na maelfu ya mashabiki mazoezini

Kocha wa muda wa Real Madrid akizungumza na mara baada ya uteuzi wake hapo jana.

Maelfu ya mashabiki wa klabu ya Real Madrid wamejitokeza hii leo katika uwanja wa Alfredo Di Stefano kumlaki kocha mpya wa klabu hiyo Zinedine Zidane akianza kazi yake rasmi ya kukinoa kikosi chake .

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS