Mapinduzi Cup Magongo kuanza Januari 8 mpaka 12 Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mchezo wa Mpira wa Magongo unatarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari nane mpaka 12 mwaka huu viwanja vya lugalo jijini Dar es salaam. Read more about Mapinduzi Cup Magongo kuanza Januari 8 mpaka 12