Waziri Mkuu,Kassim Majliwa akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Ruvuma katika ziara yake hiyo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika tumbaku cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.