Tanga derby sare, JKT Ruvu yaichapa Prisons 4-1
Watani wa jadi, Coastal Union 'Wagosi wa Kaya' na Afrika Sports 'Wana Kimanumanu' wamemaliza Tanga derby kwa kutoshana nguvu baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga, hapo jana.