Mpango wangu wa kucheza nje umeishia Azam FC - Ivo Mlinda Mlango wa timu ya Azam FC Ivo Mapunda amesema mpango wake wa kwenda kucheza nje ya nchi umefika mwisho kutokana na kukutana na vipaji vipya katika klabu hiyo. Read more about Mpango wangu wa kucheza nje umeishia Azam FC - Ivo