Aubameyang azua sintofahamu ndani ya Dortmund
Uongozi wa klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani umesema nyota wao Piere Emereck Aubameyang hakuhudhulia mazoezi ya jana ya klabu yao kutokana na masuala yake binafsi ambayo hayahusiani na suala la kutaka kuhama.