Viwanda 12 vya korosho vimegeuzwa maghala -Zitto

Jumla ya viwanda 12 vilivyokuwa vikifanya kazi ya kubangua korosho katika mikoa ya kusini vimekufa na kugeuzwa kuwa sehemu ya kuhifadhi stakabadhi ghalani kinyume na lengo la Baba wa Taifa Mwl.Julius Nyerere ya kuviendeleza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS