Dodoma yathibitisha kupokea milioni 584 elimu bure
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Chiku Gallawa
Ili kutekeleza agizo la serikali la kutoa elimu bure nchini Mkoa wa Dodoma umepokea zaidi ya Sh. 584 milion kwa ajili ya Elimu bure kwa shule za Sekondari na Msingi.