Hakuna cha likizo Hapa ni kazi tu - Kibadeni Katika kuhakikisha kikosi chake cha JKT Ruvu hakishuki daraja, kocha Abdallah Kibadeni, ameamua kuendeleza mazoezi kipindi hiki cha likizo fupi ya wiki mbili. Read more about Hakuna cha likizo Hapa ni kazi tu - Kibadeni