Lwakatare alia na watendaji wa serikali Mbunge wa Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare (CHADEMA) amekemea vikali tabia ya viongozi kwenye ngazi mbalimbali nchini kuwa chanzo kikubwa cha kukwamisha maendeleo na upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi. Read more about Lwakatare alia na watendaji wa serikali