Niyonzima awaangukia wanayanga arudishwe kundini
Mtoto akijisaidia kwenye mkono haukati, ni moja ya misemo ambayo unaweza kuutumia katika sakata la kiungo aliyetupiwa virago na Yanga hivi karibuni Niyonzima mara baada ya hii leo kujitokeza hadharani nakuwaangukia wanayanga wamrudishe kundini.

