Serena Williams aangukia pua Australian Open Mcheza Tennis namba 7 duniani kwa ubora raia wa Ujerumani Angelique Kerber ametwaa taji la michuano ya wazi ya Australia kwa kumchapa Serena Williams kwa jumla ya seti 2 kwa 1. Read more about Serena Williams aangukia pua Australian Open