Wakuu wa mikoa watakiwa kusimamia ugawaji wa Ardhi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi ametoa agizo kwa wakuu wa mikoa nchi nzima kuhakikisha wanasimamia mikutano yote ya vijiji inayodhiinisha ugawaji wa ardhi kwa mtu binafsi kuanzia zaidi ya hekari 50.
