Yanga yafa Mkwakwani, Simba ikitakata Taifa

Kikosi cha timu ya soka ya Simba.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Yanga SC hii leo wakiwa ugenini jijini Tanga wamepoteza mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu, wakati mahasimu wao Simba SC wao wakiibuka na ushindi mnono wa nyumbani na kufufua matumaini ya ubingwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS