Utandawazi umeua soko la albam nchini-Master Jay
Mtayarishaji wa Muziki wa Muda mrefu nchini Tanzania Master Jay amesema mfumo wa kidigital ndiyo ulioua soko la albam nchini na ndicho kilichowafanya wasambazaji wengi waachane na biashara hiyo kwa kuwa hailipi.

