Australian Open yampandisha chati Konta

Mcheza Tennis raia wa Uingereza Johanna Konta amefanikiwa kuwa miongoni mwa wachezaji 30 bora wa mchezo huo kwa upande wa wanawake kutokana na hatua aliyofikia katika michuano ya wazi ya Australia iliyomalizika jana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS