Hatuna vita na ZFA bali tunazuia wasufungiwe - TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF limesema hakuna vita na ZFA ila mawasiliano yanaendelea kati yao na vyombo husika kuhakikisha ZFA ambaye ni mwanachama mshiriki wa CAF anaendesha shughuli zake kwa mujibu wa taratibu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS