Mandojo kuanza 2016 bila Domokaya
Nyota wa muziki Mandojo amesema kuwa, kwa mwaka huu ameamua kupiga hatua tofauti katika muziki wake ambapo atatoka na solo project, tofauti na utaratibu wao wa siku zote wa kufanya ngoma pamoja kama Mandojo na Domokaya.

