Cocodo kutoa fursa kwa mashabiki
Msanii wa bendi maarufu ya muziki nchini Cocodo Band, Remi Tone ameamua kuwapa nafasi wadau na mashabiki kuweza kughani mashairi yao katika uzinduzi wa albamu ya mashairi 'Spoken Word' inayoitwa P.O.E.M.S ya Mukimala.