Niva kumjibu Ney kwa kutumia Filamu

Mwigizaji wa filamu Tanzania Niva a.k.a Super Mario ameingia 'location ku shoot' filamu yake mpya inayoonesha maisha halisi aliyo pitia msanii wa Bongo Fleva Ney wa Mitego.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS