Shehena ya mafuta na dawa yakamatwa Tanga

Afisa TRA Horohoro - Edwin Lwato

Shehena ya bidhaa aina ya mafuta ya taa na dawa za kulevya kilo 98 zilizokuwa zikiingizwa nchini kwa njia za panya kutoka nchini Kenya zimekamatwa katika mapori yanayounganisha mpaka wa Tanzania na Kenya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS