Wafugaji wavamia kambi, wajeruhi watu 13 Kagera Sehemu ya uharibifu inayodaiwa kufanywa na wafugaji hao Wafanyakazi 13 wa kampuni ya Kyaka Ranching mkoani Kagera wamenusika kifo baada ya kukatwa katwa mapanga na kundi la wafugaji waliovamia kambi ya kampuni hiyo Read more about Wafugaji wavamia kambi, wajeruhi watu 13 Kagera