Magufuli awateua Migiro, Chikawe kuwa mabalozi Mh. Mathias Chikawe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa mabalozi watatu katika Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa. Read more about Magufuli awateua Migiro, Chikawe kuwa mabalozi