Tupo tayari kuingia kambi ya Taifa - Kidunda

Nahodha wa Klabu ya Ngumi ya Ngome Suleiman Kidunda amesema, japo walipata changamoto katika mashindano ya taifa ya wazi ya mchezo wa ngumi lakini umoja wao kama timu umesaidia kuweza kushinda na kuwa Mabingwa katika mashindano hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS