Kozi za makocha zitaongeza idadi ya waogeleaji-TSA
Chama cha Kuogelea nchini TSA kimesema wanaimani kozi ya makocha wa mchezo huo iliyoanza hii leo itasaidia kuwaendeleza wachezaji wengi kutoka hapa nchini watakaoweza kuiwakilisha nchi katika mashindano ya Kimataifa.

