Aishi atupa lawama kwa waamuzi mchezo na Coastal Mlinda Mlango wa Azam FC, Aishi Salum Manula Mlinda mlango wa Klabu ya Azam FC Aishi Salum Manula amemtupia lawama mwamuzi wa ndani aliyechezesha mchezo wa jana wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union Mkwakwani jijini Tanga. Read more about Aishi atupa lawama kwa waamuzi mchezo na Coastal