TBF kumtumia Kocha Mmarekani kupata vipaji mikoani
Shirikisho la mpira wa kikapu nchini TBF limesema litamtumia kocha wake mpya kwa ajili ya kuweza kukuza na kutafuta vipaji vipya hapa nchini vitakavyosaidia kuitangaza nchi katika ramani ya mchezo huo.

