Mwananyamala yaelemewa na msongamano wa wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala jijini Dar es salaam inakabiliwa na msongamano wa wagonjwa hali inayochangia kuzorota kwa utoaji huduma kwa wagonjwa wanaofika katika Hospitali hiyo. Read more about Mwananyamala yaelemewa na msongamano wa wagonjwa